- 543 viewsDuration: 2:41Walimu kote nchini wanatoa wito kwa serikali kuwapatia bima binafsi ya afya wakipinga huduma kupitia bima ya SHA. Walimu wa sekondari msingi, JSS, wakiendelea kushikilia kujitegemea na kutambuliwa kando na walimu wa shule za msingi. Kwenye siku ya kuwasherehekea walimu duniani, waziri wa elimu Migos Ogamba ameahidi kuwa serikali itawaajiri walimu 24,000 kabla ya mwisho wa mwaka huu