- 104 viewsDuration: 1:53Maandalizi yamekamilika kwa kongamano la 24 la marais na wakuu wa serikali wa eneo la COMESA litakaloanza kesho katika jumba la mikutano ya kimataifa la Kenya. Katibu wa biashara Regina Ombam alikuwa miongoni mwa maafisa wakuu wa serikali waliozuru eneo hilo leo kukagua maandalizi ya hafla hiyo ya siku nne itakayoanza kesho kwa mkutano wa COMESA-na muungano wa ulaya kuhusu kilimo cha mboga na matunda. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive