- 3,194 viewsDuration: 1:24Rais William Ruto amewataka vijana kujitokeza kujisali kuwa wapiga kura kwenye zoezi linaloendelea kote nchini. Rais akisema vijana ndio wenye ufunguo wa uongozi bora. Akizungumza kaunti ya meru alikohudhuria ibada ya jumapili, rais pia ameendelea kukemea siasa za wapinzani wake akiwalaumu kwa kuendelea kuhubiri utengano badala ya utangamano