- 1,627 viewsDuration: 3:23Tamaduni ya kurahisisha watoto wachanga kuota meno katika jamii ya ukambani imetajwa kuendelea kusababisha maafa miongoni mwa watoto. Katika kaunti ya Makueni, ripoti za madhara zimeendelea kuripotiwa huku hata watoto wengine wachanga wakifariki baada ya kukatwa fizi