Maandalizi ya mkutano huu wa hapo kesho yamekamilika

  • | Citizen TV
    3,852 views

    Maandalizi ya mkutano wa viongozi wa Mlima Kenya wa Limuru 3 yamekamilika. Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika eneo la Limuru hapo kesho hata hivyo umeibua tofauti kati ya viongozi wa eneo hilo. Baadhi ya wanasiasa sasa wakionya dhidi ya wale wanaolenga kujinufaisha kisiasa na mkutano huu