Jamaa sita wa familia moja wazikwa leo eneo la Longonot

  • | Citizen TV
    1,142 views

    Jamaa sita wa familia moja iliyowapoteza watu wanane kwenye maporomoko ya hivi majuzi Mai Mahiu, wamezikwa leo kwenye maziara ya umma ya Longonot kaunti ya Nakuru. Wakaazi wa eneo hilo walijumuika na wenzao kuwaomboleza sita hao waliokuwa miongoni mwa watu sitini na mmoja waliofariki usiku wa aprili tarehe ishirini na tisa