Muungano wa wanahabari wataka bunge kubadili sheria

  • | Citizen TV
    1,456 views

    Muungano wa wanahabari nchini Kenya sasa unalitaka bunge la kitaifa kufanyia marekebisho sheria zinazosimamia utatuzi wa mizozo ya uanahabari. Katika kesi iliyowasilisha mahakamani, muungano wa KUJ umelalamika kuwa sheria za sasa zinatoa faini za juu na mara nyingi hutumika kama njama ya kukandamiza uhuru wa uanahabari.