Uhaba wa chanjo za watoto umeripotiwa hospitalini

  • | Citizen TV
    231 views

    Maelfu ya kina mama wamesalia kwenye njia panda kufuatia uhaba wa chanjo haswa katika hospitali za umma. Kulingana na baraza la magavana, hospitali mbali mbali zimenakili uhaba wa chanjo aina tano za watoto, na kuwaweka watoto hawa kwenye hatari ya maambukizi ya maradhi. imebainika kuwa uhaba huo umechangiwa na kukatwa kwa bajeti ya afya.