Baraza la magavana limekanusha madai yaliyotolewa na chama cha madaktari (KMPDU) kuhusu vifo vya watoto 136 katika Kaunti ya Kiambu vinavyodaiwa kusababishwa na mgomo wa madaktari unaoendelea. Kwa mujibu wa baraza hilo, huduma za afya zinaendelea katika kaunti hiyo, na madai hayo yanalenga kumharibia sifa Gavana wa Kiambu, Kimani wa Matangi. Wakati huohuo, baraza hilo limemteua tena Gavana wa Wajir, Ahmed Abdullahi, kuendelea kuhudumu kama mwenyekiti wa baraza hilo kwa muhula wa pili.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News