- 141 viewsDuration: 3:04Kenya inashauriana na mataifa matano yanayonunua kwa wingi bidhaa zake za kilimo cha mboga na matunda kwa minajili ya kupunguza ushuru unaotozwa bidhaa hizo. Waziri wa Biashara Lee Kinyanjui amesema bidhaa za Kenya zinatozwa ushuru wa juu baada ya hadhi ya kiuchumi ya taifa hili kupandishwa hadi kipato cha kadri. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News