- 107 viewsDuration: 3:04Wakaazi wa Kaunti ya Busia wamekataa pendekezo la kufanyia marekebisho katiba kupitia mchakato wa Bunge. Wakizungumza katika kikao cha hadhara katika mji wa Busia, wakaazi hao walisema marekebisho yoyote yanayopendekezwa kwenye katiba lazima yapigiwe kura ya maamuzi. Wakazi hao waliwaambia Maseneta leo kwamba baadhi ya mapendekezo yaliyo katika Mswada wa Marekebisho ya Katiba ya Kenya ya mwaka wa 2025 hayafai na hayalengi kuwahudumia wakenya ipasavyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News