Serikali imeimarisha juhudi za kitaifa za kuwasajili vijana zaidi katika mradi wa NYOTA, unaolenga kuwapa vijana ujuzi , mtaji wa kuanzisha biashara na uzoefu wa kazi ili waweze kujitegemea. Makatibu waliongoza juhudi za uhamasisho katika kaunti za Baringo, Kisumu,Homabay,Kericho, Isiolo, Uasin Gishu and Narok akitoa wito kwa vijana kutumia nafasi hiyo kusajiliwa kabla ya kipindi cha usajili kukamilika tarehe 12 mwezi huu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News