- 420 viewsMajeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yanasema kuwa yamezima jaribio la mapinduzi mapema Jumapili na kuwakamata wahalifu, wakiwemo raia wa kigeni kadhaa. Hii ilifuatia mashambulizi yaliyofanywa katika kasri ya rais na makazi ya mshirika wa karibu wa Rais Felix Tshisekedi ambapo watu watatu waliuawa katika mji mkuu, Kinshasa. Sita kati ya hao waliouawa ni pamoja na washambuliaji watatu na kiongozi wao, kiongozi wa upinzani aliyekuwa anaishi ughaibuni Christian Malanga, msemaji wa jeshi la Congo Brigedia Jenerali Sylvain Ekenge aliwaambia waandishi wa habari Jumapili usiku, akiongeza kuwa wahalifu takriban 50 walikamatwa. Video hiyo inaonyesha watu kadhaa wa Congo ambao hakutambulishwa, wanaoshukiwa kuhusika katika kile jeshi la ulinzi ilichosema kilikuwa ni mapinduzi yaliyofeli, wakiwa wamezingirwa na wanajeshi wa Congo. Wamarekani wawili, wanaoshukiwa kuhusika katika kile jeshi ilichosema ni mapinduzi yaliyofeli, wakiwa chini wamezungukwa na wanajeshi wa Congo (mtoto raia wa Marekani wa Christian Malanga katika picha ya chini, iliyozungushiwa duara jekundu). #mapinduzi #drc #jeshi #wanamgambo #felixtshisekedi #voa #voaswahili
Wamarekani 2 washukiwa wa jaribio la mapinduzi wakamatwa DRC
- - Sam's Sense ››
- - Bonyo's Bone ››
- - Kaikai's Kicker ››
- - Yvonne's Take ››
- 16 May 2025 - Palestinian rescuers reported more than 100 people killed on Thursday in Israeli strikes on blockaded Gaza, where a US-backed organisation said it intends to begin distributing aid by the end of the month.
- 16 May 2025 - Nairobi City Thunder will make their historic debut at the Basketball Africa League (BAL) Nile Conference on tomorrow when they take to the court at the BK Arena in Kigali, Rwanda. The Kenyan side, who are the country’s first-ever representatives in the…
- 16 May 2025 - Former top cop Charles Owino provides compelling analogy of how to commit murder
- 16 May 2025 - Residents protest neglect of colonial-era DC's office
- 16 May 2025 - Magwanga escapes alleged gun attack after death of Kasipul MP
- 16 May 2025 - Somalia training special armed unit to face off with al-Shabaab
- 16 May 2025 - Private firm to inject Sh12.3b to revive sugar factories
- 16 May 2025 - CMA approves Standard Group's Sh1.5b rights issue
- 16 May 2025 - 24 million Kenyans wear mitumba: Report
- 16 May 2025 - PS Omollo: Homa Bay ready to host Madaraka Day celebrations