Mgomo wa maafisa tabibu uliendelea leo bila ishara ya suluhu kupatikana

  • | KBC Video
    121 views

    Mgomo wa maafisa tabibu uliendelea leo bila ishara ya suluhu kupatikana huku wakiendelea kuandamana wakitaka malalamishi yao yashughulikiwe. Maafisa hao waliowasilisha malalamishi yao kwa serikali za kaunti zaMakueni na Kilifi wanasema mgomo huo unalenga kulinda hadhi yao. Miongoni mwa masuala waliobua ni kile wanachotaja kuwa ubaguzi katika ulipaji mishahara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive