Polis Nakuru wanamsaka mfungwa mwenye hatia ya unajisi aliyetoroka hii leo katika Hospitali ya Rufaa

  • | NTV Video
    181 views

    Polisi mjini Nakuru wanaMsaka mfungwa mwenye hatia ya UNAJISI aliyetoroka hii leo katika Hospitali ya Rufaa ya Nakuru alipokuwa amelazwa akisubiri kufanyiwa upasuaji. Mshukiwa huyo mwenye miaka 29 hajapatikana

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya