Mizani: Walimu Waajiriwa Vichochoroni?

  • | NTV Video
    502 views

    Maswali mengi yameibuka kuhusu baadhi ya wanasiasa kuwapa baadhi ya walimu karatasi za ajira kwenye mikutano ya umma na kujitafutia umaarufu kupitia ajira hizo. Je? Ni Vigezo vipi vinavyotumika na TSC huku baadhi ya wanasiasa wakidai kwamba wamepokea barua za ajira kutoka kwa Waziri wa elimu Ezekiel Machogu? Huku kukiwepo na walimu wengi ambao hawajaajiriwa kwa miaka sasa wameonekana kufa moyo kutokana na jinsi ambavyo ajira sasa inahusisha siasa kwa kiasi kikubwa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya