Ibada ya wafu ya Njambi Koikai yafanyika Nairobi

  • | KBC Video
    16 views

    Jamaa na marafiki na viongozi mbalimbali walikusanyika katika Nairobi chapel kwenye barabara ya Ngong kwa ibada ya wafu kwa mfawidhi wa nyimbo a mtindo wa reggae Njambi Koikai. Njambi alitajwa kuwa mwanaburudani mashuhuri aliyekuwa na azma ya kuleta mabadiliko. Njambi atazikwa kesho kwenye makaburi ya Lang'ata. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive