Skip to main content
Skip to main content

Maseneta wahofia kusambaratika kwa sekta ya afya Busia

  • | KBC Video
    196 views
    Duration: 3:14
    Vikao vya bunge la seneti mashinani katika kaunti ya Busia vimetia nanga baada ya shughuli za wiki moja. Hata hivyo, kikao cha leo alasiri kilitatizika kutokana na idadi ndogo ya maseneta na ikabidi bunge liahirishe vikao vyake hadi saa kumi alasiri. Vikao vya bunge la seneti katika kaunti ya Busia viliwawezesha maseneta kutangamana na wakazi, kukagua miradi ya serikali ya kaunti pamoja na ile ya kitaifa pamoja na kutathmini matumizi ya fedha za umma za kaunti. Kamuche Menza na taarifa kwa kina. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive