- 991 viewsDuration: 2:14Hali ya taharuki ilishuhudiwa mjini Isinya katika kaunti ya Kajiado kufuatia makabiliano kati ya jamii mbili, yaliyosababisha uharibifu mkubwa. Yadaiwa uhasama umekuwa ukitokota kwa majuma matatu baada ya mwanabodaboda mmoja kudaiwa kukataa kumrejeshea abiria masalio ya nauli. Doreen Arange na taarifa kamili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive