Skip to main content
Skip to main content

Hinga awasuta wakosoaji wa mpango wa nyumba za gharama nafuu

  • | KBC Video
    141 views
    Duration: 3:23
    Katibu katika idara ya nyumba Charles Hinga amewasuta baadhi ya viongozi wa upinzani aliosema wanadhalilisha ajenda ya serikali ya nyumba za gharama nafuu. Hinga aliwataja viongozi hao kuwa wanafiki akisema walisifia mpango huo walipokuwa serikalini lakini sasa wamegeuka na kuwa wakosoaji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive