Mahakama yasitisha kamati ya utathmini deni la kitaifa

  • | KBC Video
    31 views

    Mahakama kuu imesimamisha jopo kazi la kirais kuhusu ukaguzi wa deni la umma kusubiri kuamuliwa kwa rufaa iliyowasilishwa. Justice Lawrence Mugambi akithibitisha swala hilo kuwa la dharura aliwazuia wanachama walioteuliwa kwenye jopo kazi hilo kutekeleza jukumu lolote kusubiri kusikizwa na kuamuliwa kwa rufaa iliyowasilishwa kupinga shughuli hiyo. Kwa hizi na habari nyingine kinafuata kitengo chetu cha mizani ya haki

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive