Vijana walalamikia ubadhirifu wa fedha Siaya

  • | KBC Video
    53 views

    baadhi ya vijana katika kaunti ya Siaya walifanya maandamano ya amani kilalamikia kile walichokitaja kuwa ubadhirifu wa fedha za umma katika serikali ya kaunti hiyo. Vijana hao walitembea kwenye barabara za mji wa Siaya wakitaka kukutana na gavana wa Siaya James Orengo.

    RUNVCR…Wanadai kuwa kaunti hiyo imekuwa ikiajiri maafisa waliostaafu badala ya kuajiri vijana wasiokuwa na ajira. Vijana hao walisema hawatalegeza kamba hadi pale matakwa yao yatakaposhughulikiwa huku wakionya wahuni dhidi ya kujipenyeza katika maandamano yao ya amani .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive