Wakaazi wa Lamu wamehimizwa kulinda na kuhifadhi mikoko ili kukabili mabadiliko ya tabianchi

  • | Citizen TV
    126 views

    Wakaazi wa Lamu wamehimizwa kulinda na kuhifadhi mikoko ili kukabili mabadiliko ya tabianchi na kusaidia kuongeza idadi ya wanyama wa baharini.Sekta za uvuvi,utalii na hata ujenzi kaunti ya Lamu zinategemea miti ya mikoko kwa kiasi kikubwana inatoa ajira kwa zaidi ya wakazi elfu 30.