KDB na Polisi washtumiwa kwa kuwatia mbaroni akina mama wanaojishughulisha na uuzaji wa maziwa

  • | Citizen TV
    215 views

    Bodi ya maziwa -KDB- na maafisa wa polisi katika kaunti ya Samburu wameshtumiwa kwa kuwatia mbaroni akina mama wanaojishughulisha na uuzaji wa maziwa mjini Maralal Kwa madai kuwa hawana leseni za kuuza maziwa.