Vijana Nyamira wataka mazingira bora ya kuanzisha biashara

  • | Citizen TV
    127 views

    Vijana kutoka kaunti ya Nyamira wametoa changamoto kwa serikali kutengeneza mazingira bora ya biashara ili wajiajiri wenyewe.