Madaktari na wauguzi Mombasa watishia kugoma

  • | Citizen TV
    69 views

    Muungano wa wauguzi Na ule wa madaktari tawi la Mombasa umetishia kususia kazi endapo serikali ya Kaunti itakosa kutekeleza mkataba wa maelewano waliotia Saini pamoja Na malipo ya mishahara Na marupurupu wakati wa mgomo.