- 1,815 viewsGavana wa Kaunti ya Kisumu, Kenya, amejitokeza kulaani utekaji uliofanyika. Amesema wazi kuwa serikali ya kaunti haikuhusishwa. Hayo yameelezwa na Meya wa Mji wa Kampala,Elias Lukwago ambaye anasema gavana huyo pia anataka maelezo kamili kujua kwa nini wanajeshi wa Uganda waliivamia Kisumu na kuwakamata "wenzetu 33." Naye makamu wa rais wa chama cha upinzani Uganda FDC, Salam Musumba alisema: Viongozi hao wametekwa, katika karne hii ya 21 wametekwa, Tutawasilisha barua yetu ya malalamiko Ubalozi wa Kenya nchini Uganda, alieleza. "Na kuwajulisha kuhusu utekaji kinyume cha sheria na wa kikatili Utekaji wa viongozi 36 wa chama cha FDC," makamu rais alieleza. Kwa mujibu wa uongozi wa FDC wakati wakikamatwa viongozi hao walikuwa katika Kituo cha Umma cha Uchungaji mjini Kisumu ambako walikuwa wanahudhuria mafunzo ya kuwajengea uwezo wa mikakati ya masuala ya siasa kwa wiki moja. #uganda #kenya #kisumu #fdc #upinzani #meya #kampala #polisi #ugaidi #ibrahimssemujjunganda
Wanajeshi
- - Siasa mitandaoni ››
- - Siasa kuhusu IEBC ››
- - LAND AND PROPERTY ››
- - Mazungumzo ya marika ››
- 13 Jul 2025 - Public Service Cabinet Secretary Geoffrey Ruku has called on the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) to put in place all necessary regulations and processes in preparation for the pending by-elections across the country and the 2027…
- 13 Jul 2025 - Gaza's civil defence agency said Israeli air strikes on Sunday killed more than 40 Palestinians, including at a market and a water distribution point, as talks for a ceasefire between Israel and Hamas stalled.
- 13 Jul 2025 - Deputy President Kithure Kindiki said the focus now is completion of these projects and commencement of others, calling on residents not to fall prey to those selling cheap and retrogressive politics.
- 13 Jul 2025 - A man was left with serious injuries on Sunday after being beaten by residents who suspected him of being a livestock thief in the Drys area of Ainapkoi, Uasin Gishu County.
- 13 Jul 2025 - Thousands of people streamed to a small Italian hilltop village not far from Rome on Sunday, to hear Pope Leo deliver his first Angelus prayer from his summer residence at Castel Gandolfo.
- 13 Jul 2025 - IEBC recently got a new chair & commissioners.
- 13 Jul 2025 - Kenya Simbas on Sunday bowed out of the 2027 Rugby World Cup contention after losing to Zimbabwe 29-23 in a tight Rugby Africa Cup semifinal at Mandela National Stadium in Uganda.
- 13 Jul 2025 - “When it’s time for campaigns, we will come with a scorecard of what we have achieved."
- 13 Jul 2025 - The East African Community (EAC) has renewed calls for a harmonised, Africa-led resource mobilisation framework as it assumes the leadership of the COMESA-EAC-SADC Tripartite Free Trade Area (TFTA).
- 13 Jul 2025 - Residents of Giacai village in central Kirinyaga County are demanding immediate investigations into an incident where police officers allegedly stormed a local bar and roughed up customers for unknown reasons, injuring some.