Fisi wahangaisha wakaazi wa block 2, Sinedet na Njoro

  • | Citizen TV
    527 views

    Wakaazi Wa Kijiji cha Block 2, Sinendet ,Njoro kaunti ya Nakuru wametaka Shirika la huduma kwa wanyamapori nchini KWS, kukabiliana Na fisi ambao wamezidi kuwahangaisha Kwa miezi minne Sasa. Kulingana Na wakazi hao mifugo wanaliwa Na fisi usiku na kuwaacha wakikadiria Hasara.