Wanafunzi watakiwa kuripoti visa vya dhuluma

  • | Citizen TV
    245 views

    Kutokana na ongezeko ya visa vya dhulma dhidi ya watoto zikiwemo watoto kuchapwa,kunyimwa elimu na matibabu na hata kuozwa mapema, mashirika ya kijamii katika kaunti ya turkana Kwa ushirikiano na afisi ya watoto, yamejitwika jukumu la kuanzisha vikundi vya kuhamasisha wanafunzi.