Hospitali ya Tenwek Bomet yazindua kitengo cha dharura cha kushughulikia waathiriwa wa ajali

  • | Citizen TV
    112 views

    Hospitali ya Tenwek kaunti ya Bomet imezindua kitengo kipya cha kushughulikia waathiriwa wa ajali na hali za dharura ili kukabiliana na hitaji kubwa la huduma hizo