Gavana wa Machakos aitaka wizara ya hazina ya kitaifa kusambaza pesa zinazodaiwa na serikali

  • | Citizen TV
    314 views

    Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti ameitaka wizara ya hazina ya kitaifa kusambaza pesa inazodaiwa na serikali za kaunti akisema kuwa kaunti zinatatizika kutokana na ukosefu wa fedha.