Viongozi wa kanisa wapinga mswada wa kudhibiti kanisa

  • | Citizen TV
    120 views

    Viongozi wa kanisa la Kianglikana wamejiunga na viongozi wengine wa dini kupinga mswada uliopelekwa bungeni na seneta wa Tana River Danson Mungatana wa kudhibiti kanisa