Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti atetea utendakazi wake

  • | Citizen TV
    541 views

    Gavana wa Machakos wavinya ndeti amejitetea kutokana na uvumi unaosambazwa na wanablogu katika mitandao ya kijamii kwa kusema kuwa rekodi zake zimeonyesha kuwa yeye ni mchapakazi. Akizungumza baada ya misa katika kanisa katoliki la mtakatifu yuda, wavinya alisema kwamba utendakazi wake unasifika na kuahidi wakazi wa Machakos Maendeleo kabambe.