
349,246 views
4 Jun 2023
Upendo huvumilia,upendo hauna wivu, upendo hauna choyo upendo hauchoki. ..... WIMBO: Nijaposema kwa lugha, kushinda malaika, nikiwa sina upendo mimi ni kitu bure. Furahia nyimbo tamu kutoka Sauti Tamu melodies na nyimbo za kwaya Katoliki katika channel yetu na channels nyingine za nyimbo za kwaya kama vile Rajo production, Holy Trinity Studios, Tanganyika productions na kadhalika. Tazama nyimbo zetu nyingine kama nikupe nini Mungu wangu, sasa wakati umefika na nitakwenda mimi mwenyewe. #SautiTamu #KwayaKatoliki WAIMBAJI: Sauti Tamu Melodies SOLO VERSES Mike Music Carol AUDIO & VIDEO: Sauti Tamu Record Label PRODUCER DIRECTOR INSTRUMENTALIST Munywoki Martin Mutua. Asante kwa kutazama.