
4,092,993 views
17 Jul 2022
Sisi wana wa dunia tukumbuke maneno aliyosema Bikira Maria Alipowatokea watoto wa Fatima, Lucia, Francis na Yasinta, Alisema tusali, tusali rozari, tupate amani Na tuwaombee, wale wakosefu, wasio na mwombezi Na wasiomwamini Yesu Mwokozi wamuamini ili waokoke wimbo wa Bikira Maria Nyimbo nyingine za Mama Maria ni Umsihi Mwanao Yesu, Ee Mama Yetu Maria, pamoja na malaika, ewe nama maria, ninakupenda maria na nyinginezo. wimbo umetungwa na P F Mwarabu, umeandaliwa na Martin Munywoki na kuimbwa na Sauti Tamu Melodies Fuatilia nyimbo nyingine tamu kwenye channel hii. usisahau kusubscribe