
741,686 views
7 May 2022
Neno la Bwana limekuja kwetu sisi na tulipokee kwa furaha kwa imani, ndilo neno lenye kutuletea wokovu. Neno la Bwana Yesu Kristu ni taa ya mioyo yetu, kwa hivyo inatupasa tulipokee #SautiTamu Mtunzi: Deo Kalolela Kinanda: Mkude Sekulu Mtayarishaji: Munywoki Martin Mutua Waimbaji: Sauti Tamu Melodies sikiliza pia "ni nani hawa watembeao kwa furaha wakiijongea altare" na Tazama Bwana tunakuja kwako, zote za Deo Kalolela