
739,923 views
16 Apr 2022
Hoya hee! hoya hee! natufurahi siku ya leo Aleluya! Hoyee tulitukuze jina la BwanA Hoya hee! Hoya hee! Mungu wetu ndiwe Baba mfariji Aleluya hoyee kazi zako zote zinakusifu. Happy Easter. Tumekuandalia wimbo huu kama zawadi ya pasaka. Tazama nyimbo nyingine za pasaka kama Njooni wapenzi tufanye shangwe, Bwana Yesu Kafufuka, Bwana kafufuka tuimbe, Bwana amefufuka, n.k. Ni wimbo wa mwanzo, kuingia kanisani au shukrani. MELODY: Taita Traditional Tune ARRANGEMENT: Boniface Mganga PRODUCER: Martin Mutua Munywoki. SINGERS: Sauti Tamu Melodies