
401,963 views
16 Apr 2022
Bwana Yesu Kafufuka Tumwimbie kwa furaha aleluya. aleluya aleluya, aleluya aleluya, aleluya Asubuhi na mapema amefufuka Mwokozi Aleluya Waimbaji : Sauti Tamu Melodies Mtayarishaji: Munywoki Martin Mutua Wimbo wa Pasaka Nyimbo nyingine za Pasaka ni Njooni wapenzi tufanye shangwe, Bwana kafufuka tuimbe, Bwana amefufuka, Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana, na nyinginezo.