
632,927 views
17 Feb 2022
Uipokee sadaka, ee Bwana Mungu tusikie, Bwana, sadaka yetu Uipokee kwa wema, ee Bwana Mungu wetu Uzipokee Sadaka umetungwa na Melchior B Syote Audio na video vimeandaliwa na Munywoki Martin Mutua Waimbaji ni Sauti Tamu Melodies Karibu ubarikiwe kwa wimbo huu wa sadaka/matoleo pamoja na nyinginezo kama nikupe nini Mungu wangu na Sasa Wakati Umefika. #sautitamu #kwayakatoliki #sautizakuimba #zilipendwa Receive oh Lord our offering