
837,677 views
6 Feb 2022
Yesu asante sana, kujifanya chakula kutuletea shibe alama ya pendo, Composer Stanslaus Mujwahuki Waimbaji: Sauti Tamu Melodies Director/producer/trainer: Martin Munywoki Organist: G. C. Mkude Sekulu Barikiwa na nyimbo zaidi kutoka channel hii vikiwemo Nikupe Nini Mungu wangu, Sasa Wakati Umefika, Utukuzwe ewe Baba, Msisimko wa Sifa, Nimeahidi Yesu, na nyinginezo. #SautiTamu #Zilipendwa #KwayaKatoliki