
264,231 views
19 Dec 2021
Wachungaji wakaenda kwa haraka, wakamkuta Maria na Yosefu na yule mtoto mchanga amelala horini 1. Malaika akawaambia ninyi msiogope nawaletea habari njema 2. Ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote Mwokozi wenu amalezaliwa 3. Katika mji wa Daudi leo amezaliwa Mwokozi ndiye Kristu Bwana Wimbo wa Sikukuu ya Familia Takatifu ya Yesu, Maria na Yosefu Mtunzi - Stanslaus Mujwahuki Kinanda - Gabriel C Mkude Sekulu Waimbaji - Sauti Tamu Melodies Mtayarishaji - Martin Mutua Munywoki ni wimbo wa Krismasi, tazama pia Mbali Kule nasikia na Kengele Zasikika.