
370,241 views
28 Oct 2021
Njooni tumwimbie na kumshangilia Njooni tumwabudu Bwana Njooni tumjongee, njooni kwa masifu Tumanyie shangwe, mwamba wa wokovu Wimbo wa kuingia kanisani /entrance. Umetungwa na Fr. Daudi Ntampambata Audio na video vimeandaliwa na Martin Mutua Munywoki Umeimbwa na Sauti Tamu Melodies Tazama pia Twimbe kwa Shangwe na Furaha, wimbo wa kuingia kanisani.