
56,132 views
5 Oct 2021
Tumsifu Maria enyi wanae Tutoe salamu tumshangilie Ave ave Ave Maria Salamu, Salaam, Salamu Maria Ni mwezi wa Rozari Takatifu, karibu kutazama wimbo huu wa kumsifu Maria. umeimbwa na Sauti Tamu Melodies umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki adapted from Immaculate Mary - The Lourdes Hymn