
366,259 views
27 Aug 2021
Ee Baba twaleta zawadi zetu, ee Baba twaomba uzipokee, Japo ni kidogo sana ewe Baba Twakusihi sana, Baba uzipokee. #SautiTamu #SautiZaKuimba #Zilipendwa Umetungwa na Guido B Matui na kuimbwa na Sauti Tamu Melodies. Umetayarishwa na Martin Mutua Munywoki. Tazama nyimbo nyinginezo maarufu za sadaka za kwaya Katoliki katika channel hii kama vile Nikupe Nini Mungu wangu, Nitakwenda Mimi mwenyewe nikatoe sadaka, Sasa wakati umefika, utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe, na nyinginezo. Tazama nyimbo zinazopendwa za misa kama vile Nimeahidi Yesu, Twimbe kwa Shangwe, Msisimko wa Sifa, zote kwa channel hii. Kwa nyimbo zaidi za kwaya katoliki kenya na Tanzania unaweza tazama channels kama Rajo Production, Tanganyika Production, Holy Trinity Studios na kadhalika.