
434,017 views
12 Dec 2020
Vipaji hivi ni kama dhabihu yenye harufu nzuri Sadaka inayokubaliwa na kumpendeza Mungu Kwa furaha tutoe, kwa imani tutoe Kwa mapendo tutoe tutoe kwa shukrani Waimbaji: Sauti Tamu Melodies Tazama nyimbo nyinginezo za sadaka katika channel hii kama vile Nikupe Nini Mungu Wangu, Sasa Wakati Umefika, Utukuzwe ewe Baba, Nitakwenda Mimi mwenyewe na nyinginezo #SautiTamu #Zilipendwa wimbo huu umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki (poducer director)