
4,113,603 views
29 Sep 2020
Utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe, aleluya Kwani Bwana mfufuka ametualika, aleluya aleluya utukuzwe, utukuzwe, Baba mwumba ulimwengu aleluya Umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki #SautiTamu #SautiZaKuimba #Zilipendwa Nyimbo nyingine za sadaka maarufu ni pamoja na Sasa wakati umefika, Nikupe nini Mungu wangu cha kukupendeza, Tazama Bwana tunakuja kwako, Mungu Baba pokea sadaka yetu leo, sadaka yangu kwako ee Mungu, nitakwenda mimi mwenyewe na Sala yangu, ee Baba twaleta zawadi zetu na ipae mbele yako utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe Hallelujah Kwani Yesu mfufuka ametuchagua