
284,523 views
25 Jun 2019
Yesu Kristu ni mfalme wa wafalme Yesu Kristu ndiye Bwana wa mabwana Astahiliye sifa enzi pia nguvu, heshima na utawala Huyu Yesu Kristu anatawala milele yote Huyu Yesu Kristu atawala milele Yeye ndiye Alfa na Omega Yeye ndiye mwanzo tena mwisho Aliyekuwepo, aliyepo na ajaye Yesu Kristu alikufa Yesu amefufuka na yu hai Atajakuja tena kuhukumu Wazima pia na wafu Utukufu nao ukuu Una yeye Bwana, pia nguvu Ufalme wake unadumu, milele na milele ----- Umeimbwa na Sauti Tamu Melodies umetayarishwa na Martin Mutua Munywoki Sikukuu ya Yesu Kristo Mfalme na pasaka, haleluya, aleluya, astahili sifa, anastahili kusifiwa kuabudiwa na kuhimidiwa na viumbe vyote. Ahimidiwe yeye kwa nyimbo Usikose kutazama kazi zetu nyingine katika channel hii kama vile Nikupe Nini Mungu wangu, Nitakwenda Mimi Mwenyewe, Nimeahidi Yesu, Msisimko wa Sifa, Wanameremeta, n.k. Unatawala Milele, Kristo Atawale Milele