
102,571 views
24 Jan 2025
Chorus Subiri wakati wa bwana utafika, ayajua masaibu yako bado bwana akupenda aliangikwa mti kwa sababu yako, tulia kuwa na imani atakujibu Stanza 1 Umekesha ukiomba sana ili Mungu wako akubariki wewe, umekaribia kukata tamaa, kumbuka Mungu bado yupo subiri bwana atatimiza ahadi yake kwako. Stanza 2 Mungu wetu ajibu maombi, unapaswa kuwa na Imani kwake, upendo wake haupimiki, alionyesha msalabani, subiri bwana atatimiza ahadi yake kwako