
5,322 views
26 Mar 2021
Hajasikia la mwadhini wala la mteka maji kisimani, ameshauchagua duniani na kubobea katika fani zake, huyu sasa tumuite nani huyu sasa tumtambuaje, ameubadili tabia mienendo sio sawa, na kumkana Bwana wake, amejenga, hema la muovu Chorus Jihadharini na ulimwengu si rafiki kuna mengi ya kutisha, usiyapende yasiyo mema chunga sana usije anguka, hivyo yasikize maneno ya wenye hekima uwe mfano bora Duniani chungu tena ni pabaya, mbona walimwengu kujizamisha ndani yake, raha na anasa za dunia zapotosha, ( rudi kwa Yesu ), kwa kuwa Bwana huwapa watu hekima ( kinywani mwake ) ni maarifa tupu rudini kwa Yesu