- 9,235 viewsDuration: 17sTakriban watu 95 wamefariki na mamia ya watalii hawajulikani walipo kufuatia mafuriko makubwa na maporomoko ya udongo katika mpaka wa Nepal na Tibet. Kuna zaidi ya raia 100 kutoka India na 12 kutoka Uingereza hawajulikani walipo, kulingana na bodi ya utalii ya Nepal. Waziri wa Mambo ya Nje wa Nepal amesema mafuriko hayo huenda yalisababishwa na tetemeko la ardhi lililosababisha theluji kuporomoka. Video hii imehaririwa na BBC kwa kuweka mwanga mweupe kutokana na maudhui yake ya kusikitisha. #bbcswahili #Napalmafuriko #Nepalnatibet #mafurikoSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw